Posts

Showing posts with the label watu walipaniki.

mbunge Peter Salasya avamia na polisi, When I started my Western Kenya tour, watu walipaniki.

Mbunge Peter Salasya avamiwa na makachero kwake nyumbani usiku Mbunge huyu amesema hivi kwenye handle yake ya insta When I started my Western Kenya tour, watu walipaniki. Hapo ndipo kelele zilianza,“Wamunyoro ndiye anamsponsor!” I just smiled and kept walking. A week later, they switched tune,“Ni Jimmy Wanjigi sasa!” Watu walikosa consistency kabisa. Then I landed in Nakuru. My people turned up in big numbers. Wakaona hii kitu si mchezo tena. Guess what? Now they were shouting,Farouk na Sudi wako nyuma yake! Sasa niko Mombasa, and they’ve changed the script again. The latest story? “It’s the government through State House Controller sponsoring Salasya!” Ati nani? Serikali yenyewe? But here’s the joke of it all,the same people saying State House is behind me are the same ones who tried to have me arrested yesterday using a suspicious vehicle with no number plate. What kind of foolish drama is that? No uniform, no ID, no shame. Let me ask you Kenyans,why all this noise? Why can’t they ag...