Posts

Showing posts with the label bahati na ahadi za ukora Arsenali vs Psg

msani wa gospel bahati na ahadi za ukora

Image
Msani wa gospel wa inchini kenya aliwaidi Wakenya kua baada ya mechi ya Arsenali na PSG atanyoa nywele zake Msani huyu alisema kua iwapo Arsenali itashidwa atainyoa nywele zake  Ila baada ya mechi hio msani huyu anaye julikana kwa nyimbo zake za mitindo za kisasa gospel secular  Ali walipa mablogger na photo editor na kufanyia picha ukarabati ili awa adae Wakenya kua amezinyoa nywele zake!! Bahati ama fanya ili kitendo bila kujua  Wakenya pia ni watu wanao jua technology  Wengi wamefokea kitendo hicho kwa sana  Pich hii ni kwa hisani ya the star news