harmonize realised free of charge after Erick omondi used hes name to con Kenyan on shows
Erick omondi ni mkoro anaye tumia jina ya wasani ili hapate chakula cha siku Hii inatokea kwenye show alio muita msani wa tanzania kwenye show za kenya na kuwaadai promoter pesa mingi kesha kumuambia msani aje na kuwapa salamu waleo fika uku promoters wakijua msani anakuja kuperform Hii inatokea kwa baada ya harmonize kushikwa Nairobi kenya Erick omondi amajaribu kuchezea police mchezo wa paka na panya na kuadai harmonize amlipe baada ya kujipiga konde mdomoni uku akisema harmonize konde boy amemlipua konde mdomoni Lakini mwishoni Wamemuachilia harmonize na kusema ukweli wote Tazama maneno yake hapa harmonize realised from keleleshwa police station