Harmonize na Ibraah
Harmonize ameamua kumuachilia Ibraah ila anadai pesa za kukata mktaba wake na Ibraah Ibraah amelalamikia kua awezi pata pesa anaye taka Harmonize kua pesa hizo ni nyingi sana kuliko Mapato yake ya mwizi kadha