msani wa gospel bahati na ahadi za ukora
Msani wa gospel wa inchini kenya aliwaidi Wakenya kua baada ya mechi ya Arsenali na PSG atanyoa nywele zake
Msani huyu alisema kua iwapo Arsenali itashidwa atainyoa nywele zake
Ila baada ya mechi hio msani huyu anaye julikana kwa nyimbo zake za mitindo za kisasa gospel secular
Ali walipa mablogger na photo editor na kufanyia picha ukarabati ili awa adae Wakenya kua amezinyoa nywele zake!!
Bahati ama fanya ili kitendo bila kujua
Wakenya pia ni watu wanao jua technology
Wengi wamefokea kitendo hicho kwa sana
Pich hii ni kwa hisani ya the star news
Comments
Post a Comment