Stephen King wa America kwenye controversial issue na fans wake
Stephen King wa America apatikana kwenye shida na mashabiki wake baada ya kupost vichekesho vinavyo abatana na vichekesho vya Donald Trump
Kwenye post hio alikua ana kashiva wana Haiti 🇭🇹
Stephen King, The King of horrors
Aliadika ivi "Why did Donald J. Trump cross the road? To see Haitians eating pets on the other side." hili jambo limezua kumzu kwa mashabiki wake wengi
Kwa hilo andiko Stephen alikua anaamanisha kua, wakimbizi wa Haiti wamikua Wakila wanyama wa kufungua kama paka kwenye town ndogo ya Ohio
Na wengi wa mafans wake wana chukulio hilo kama neno la kukejeli
Comments
Post a Comment