mliuliza nani ndo mpatie kapuni muhindi!? Natembeya
Natembeya :
Mnachukua Factory mnapatia Muhindi na vile muhindi mkono ngumu atalipa hii watu nini?
Hio sisi tumekata, hayo ndo matamko ya gavana wa Tranza nzoia baada ya Raisi William Samoi Ruto kumpatia idhini Rai wa Rai cement mamlaka ya kuchukua kiwando hicho cha nzoia sugar msikilize hapa “ Rais Ruto aliuliza nani ndio akauza Nzoia Sugar Company?” Governor George Natembeya.
Comments
Post a Comment